Kenya: Seriakli Yaendeleza Juhudi Za Kuokoa Wakenya Wanne Waliotekwa Nyara Nchini Ethiopia

22 March 2013

Serikali inafanya juhudi kujaribu kuokoa familia ya watu wanne ambao wametekwa nyara nchini Ethiopia. Wafugaji wa mifugo kutoka Ethiopia wanataka mifugo wao walioibwa na wavamizi kutoka Turkana kurejesha mifugo hao kabla ya kuachiliwa kwa mateka hao.  Mkuu wa wilaya ya Kibish Erick Wanayonyi anasema kwamba mazungumo yanaendelea kati ya serikali husika ili wanne hao waachiliwe huru.

AllAfrica publishes around 400 reports a day from more than 100 news organizations and over 500 other institutions and individuals, representing a diversity of positions on every topic. We publish news and views ranging from vigorous opponents of governments to government publications and spokespersons. Publishers named above each report are responsible for their own content, which AllAfrica does not have the legal right to edit or correct.

Articles and commentaries that identify allAfrica.com as the publisher are produced or commissioned by AllAfrica. To address comments or complaints, please Contact us.